Nafasi za Kazi Wizara ya Afya 2025
Maelezo: Wizara ya Afya imetangaza nafasi mpya za kazi kwa mwaka 2025. Tuma maombi kwa nafasi za madaktari, wauguzi, na watendaji wa afya.
Maelezo Kuhusu Nafasi za Kazi
Wizara ya Afya kupitia Sekretarieti ya Ajira imetangaza nafasi za kazi kwa watanzania wenye sifa. Nafasi hizi zinahusu kada za afya zikiwemo:
- Madaktari (General & Specialists)
- Wauguzi
- Wasaidizi wa Maabara
Jinsi ya Kutuma Maombi
Waombaji wanatakiwa kutuma maombi yao kupitia mfumo wa ajira wa AJIRA Portal kabla ya tarehe 15 Juni 2025.
👉 Bonyeza hapa kutuma maombi: portal.ajira.go.tz
👉 Tazama pia: Nafasi nyingine za kazi hapa
Mahitaji ya Waombaji
Waombaji wanapaswa kuwa na:
- Cheti cha kitaaluma (degree/diploma)
- Barua ya maombi
- CV iliyowekwa sahihi
- Nakala ya vyeti vya shule na kuzaliwa
Maswali ya Mara kwa Mara (FAQ)
1. Je, maombi ni ya online pekee?
Ndio. Tuma kupitia AJIRA Portal.
2. Mwisho wa kutuma maombi?
Tarehe 15 Juni 2025