Email: info@ajiraexpress.com

Ajira Mpya 320 Akiba Commercial Bank Plc 2026 | Direct Sales Agent Tanzania (Apply Now)

Ajira Mpya 320 – Direct Sales Agent | Akiba Commercial Bank Plc 2026

Akiba Commercial Bank Plc imetangaza nafasi 320 za kazi kwa nafasi ya Direct Sales Agent kwa mkataba wa miezi 6 unaoweza kuongezwa kulingana na utendaji kazi.

Hii ni fursa kubwa kwa vijana na watafuta ajira nchini Tanzania wanaotaka kujenga uzoefu katika sekta ya benki na mauzo.

Nafasi za kazi bank Tanzania

Nafasi za kazi bank Tanzania

Maeneo ya Kazi (Vacancies & Locations)

Nafasi hizi zimesambazwa katika maeneo mbalimbali Tanzania:

Dar es Salaam – Nafasi 200

  • Head Office: Amani Place, 3rd Floor

Mikoa mingine (Upcountry) – Nafasi 120:

  • Mwanza

  • Arusha

  • Dodoma

  • Mbeya

  • Moshi

Majukumu ya Kazi (Key Responsibilities)

Waombaji watakaochaguliwa watakuwa na majukumu yafuatayo:

 1. Kufikia Malengo ya Mauzo

  • Kuuza bidhaa za benki kama akaunti za akiba na amana

 2. Kuwatafuta Wateja

  • Kutambua na kuwasiliana na wateja wapya kila siku

 3. Kusaidia Ufunguzi wa Akaunti

  • Kuhakikisha nyaraka zote zinajazwa vizuri

 4. Kuzingatia Sheria za Benki

  • Kufuata taratibu za KYC na AML

 5. Kuwakilisha Benki Kitaalamu

  • Kutoa huduma bora kwa wateja

Ujuzi Unaohitajika (Skills)

  • Mawasiliano mazuri

  • Uwezo wa kufanya kazi kwa timu

  • Ujasiri wa kuongea na wateja

Uzoefu wa mauzo au huduma kwa wateja ni faida ya ziada.


Nyaraka Muhimu za Kuambatanisha

  • CV iliyoboreshwa

  • Barua ya maombi (onyesha eneo unalopendelea)

  • Nakala ya NIDA

  • Vyeti vya masomo


Jinsi ya Kutuma Maombi (Application Procedure)

Waombaji wanatakiwa kuwasilisha maombi yao moja kwa moja (physically) kwenye tawi la karibu la
Akiba Commercial Bank Plc.

JINSI YA KUANDIKA CV


Deadline ya Maombi

25 Machi 2026


Ajira Akiba Commercial Bank 2026

Ajira Akiba Commercial Bank 2026

Mawasiliano (Contact Information)

Apply for this job

Leave your thoughts